Arsenal
watakuwa wanacheza nusu fainali Kombe la FA kwa mara ya 29
Nusu
fainali zote mbili zitachezewa Wembley wikendi ya 22 na 23.
Chelsea
walifuzu kwa kuwafunga Manchester United 1-0 Jumatatu.
Spurs
walifika nusu fainali kwa kulaza Millwall 6-0 Jumapili.
Arsenal,
ambao walishinda kombe hilo 2014 na 2015 waliwalemea Lincoln City 5-0 Jumamosi.
Manchester
City ambao wanacheza nusu fainali kwa mara ya kwanza katika misimu minne,
walifuzu kwa kulaza Middlesbrough 2-0 ugenini.
Matokeo ya mechi ambazo ziliwahi
kupigwa kati ya timu hizo zitakazokutana nusu fainali za kombe la FA
0 comments:
Post a Comment