TUNDU LISSU AMJIBU RC MAKONDA



Mbunge wa Singida Mashariki kupitia tiket ya CHADEMA Mhe Tundu Antipas Lissu amemibu mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda, Lissu amejibu kauli ambayo aliitoa mkuu wa mkoa Mhe. Paul Makonda leo katika maadhimisho ya mwaka mmoja ya ukuu wa mkoa wa Dar es slaam kwamba “Dar es Salaam tunataka kuanzisha mfumo wa kulipia kwa njia ya kadi”.


Kutokana na mpango huo mbunge huyo ameibuka na kujibu ya kwamba ni mzaha kununua nusu kilo ya unga kwa kutumia mfumo wa kadi “Ni mzaha na haikubaliki kwa wananchi wa kawaida wa Dar es Salaam kufanya manunuzi ya fungu la mchicha au unga 0.5Kg kwa Credit cards” alisema Lissu
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment