Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na mgeni wake Mjumbe wa Kamati Kuu
ya Chama cha Kikomonisti cha China(CPC) Bw. Guo Jinlong alipofika Ikulu Mjini
Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akifuatana na mgeni
wake Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomonisti cha China(CPC) Bw. Guo
Jinlong alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na
mgeni wake Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomonisti cha China(CPC)
Bw. Guo Jinlong alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana
nao.
0 comments:
Post a Comment