MSUKUMA, MALIMA, BASHE WASHIKILIWA NA POLISI MKOANI DODOMA

Jeshi la polisi mkoani Dodoma linawashikilia Bashe, Msukuma na aliyekuwa naibu waziri wa fedha Mhe. Adama Malima kwa kile kinachodaiwa kutaka kufanya fuo katka vikao vya CCM mjini humo. 

Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku
Kamanda wa polisi mkoani Dodoma Kamanda Lazaro Mambosasa amethibitisha kukamatwa kwa mbunge wa Nzega mjini Husseein Bashe na mbunge wa Geita vijijini Joseph Kasheku almaarufu kama Msukuma ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita.  

Kamanda Mambosasa alisema "hao ndo waliowakamatwa na bado tunaendelea na mahojiano na wengine bado tunaendelea kuwatafuta" 
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment