ZANZIBAR HAITISHIKI NA KUZIMIWA UMEME

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein amesema serikali yake haitishiki na tishio la kukatiwa Umeme na iko tayari kutumia vibatari na deni linalodaiwa sio la leo wa jana.
Kauli hio imekuja mara baada Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO) kutoa siku 14 kwa wadaiwa sugu likiwamo Shirika la Umeme Zanzibar(ZECO) kuhakikisha wanalipa madeni yao.



Kaimu mkurugenzi wa Shirika hilo, Tito Mwinuka amesema mpaka sasa wanadai bilioni 275 na kwamba wadaiwa hao wasipolipa watakatiwa umeme. 

Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment