RAIS MUGABE AJA NA MUONEKANO MPYA WA NYWELE ZAKE

 Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amebadili muonekano wa kichwa chake baada ya kuamua kunyoa nywele zake tofauri na ambavyo wengi wamezoea kumuona kwa muda mrefu katika nyadhifa yake ya urais wa nchi ya Zimbabwe.

Rais Mugabe akiwa katika muonekano mpya baada ya kupunguza nywele na masharubu yake

Rais huyo alionekana katika hali hiyo mpya iliyowashangaza wengi alipohudhuria mazishi ya mwanajeshi wa zamani wa nchi hiyo, na inasemekana kwamba mtindo huo mpya wa unyoaji unaweza kuwa ni wa mara ya kwanza kwake tangu amekuwa rais wa nchi.


Baadhi yao wamesema mtindo huo wa unyoaji kwa kupunguza nywele na masharubu umemfanya rais huyo kuoneakana kijana na kuvita zaidi watumiaji wa mitandao ya kijamii. 

Rais Mugabe kabla ya kupunguza nywele na masharubu yake

Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment