RATIBA YA BUNGE LA BAJETI 2017/2018, UCHAGUZI EALA KUFANYIKA APRIL 4


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
BUNGE LA TANZANIA
MKUTANO WA SABA (7) BAJETI
RATIBA YA MKUTANO WA BAJETI
TAREHE 04 APRILI, 2017 HADI 30 JUNI, 2017
OFISI YA BUNGE
3 APRILI, 2017
RATIBA YA MKUTANO WA SABA (7) WA BUNGE LA BAJETI
TAREHE 04 APRILI, 2017 HADI 30 JUNI, 2017
SN SIKU/TAREHE SHUGHULI IDADI YA
SIKU

1. JUMANNE
04/04/2017 (i) Kiapo cha Uaminifu
(ii) Maswali
(iii) Uchaguzi wa Wabunge wa Bunge la Nne la
Afrika Mashariki
v Majumuisho kati ya Kamati ya Bajeti
na Serikali[Kanuni ya 98(4)]
Siku 1

2. JUMATANO
05/04/2017
 Saa 10.00 Jioni
(i) Maswali
v Majumuisho kati ya Kamati ya Bajeti
na Serikali[Kanuni ya 98(4)]
(ii) Kikao cha Kamati ya Uongozi kupokea
Taarifa ya Kamati ya Bajeti juu ya
Mashauriano na Serikali [Kanuni ya 98(5)]
Siku 1

3. ALHAMISI
06/04/2017
(i) Maswali
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI
MKUU
Siku 1

4. IJUMAA
07/04/2017
MAPUMZIKO /KUMBUKUMBU YA KARUME

5. JUMAMOSI – JUMAPILI
08/04/2017 – 09/04/2017
MAPUMZIKO

6. JUMATATU – ALHAMISI
10/04/2017- 13/04/2017
(i) Maswali
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI
MKUU
Siku 4

7. IJUMAA
14/04/2017
MAPUMZIKO /IJUMAA KUU

8. JUMAMOSI – JUMAPILI
15/04/2017- 16/04/2017
MAPUMZIKO/PASAKA

9. JUMATATU
17/04/2017
MAPUMZIKO /JUMATATU YA PASAKA

10. JUMANNE - IJUMAA
18/04/2017 - 21/04/2017
(i) Maswali
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA RAIS:
• TAMISEMI
• UTUMISHI NA UTAWALA BORA
Siku 4

11. JUMAMOSI
22/04/2017
MAAZIMIO Siku 1

12. JUMATATU
24/04/2017
(i) Maswali
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA
MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO NA
MAZINGIRA)
Siku 1

13. JUMANNE
25/04/2017
(i) Maswali
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA KATIBA
NA SHERIA
Siku 1

14. JUMATANO
26/04/2017
MAPUMZIKO /SIKUKUU YA MUUNGANO

15. ALHAMISI - IJUMAA
27/04/2017 – 28/04/2017
(i) Maswali
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA
UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO
Siku 2

16. JUMAMOSI – JUMAPILI
29/04/2017 – 30/04/2017
MAPUMZIKO

17. JUMATATU
01/05/2017
MAPUMZIKO /SIKUKUU YA
WAFANYAKAZI

18. JUMANNE
02/05/2017
(i) Maswali
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA
UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO
Siku 1

19. JUMATANO - ALHAMISI
03/05/2017 - 04/05/2017
(i) Maswali
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA AFYA,
MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE
NA WATOTO
Siku 2

20. IJUMAA
05/05/2016
(i) Maswali
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA HABARI,
UTAMADUNI, WASANII NA MICHEZO
Siku 1

21. JUMAMOSI – JUMAPILI
06/05/2017 – 07/05/2017
MAPUMZIKO

22. JUMATATU
08/05/2017
(i) Maswali
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA HABARI,
UTAMADUNI, WASANII NA MICHEZO
Siku 1

23. JUMANNE
09/05/2017
(i) Maswali
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA
MAMBO YA NDANI YA NCHI
Siku 1

24. JUMATANO – IJUMAA
10/05/2017 – 12/05/2017
(i) Maswali
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAJI
NA UMWAGILIAJI
Siku 3

25. JUMATATU - JUMANNE
15/05/2017 - 16/05/2017
(i) Maswali
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA
ELIMU, SAYANSI, TEKNOLOJIA NA
UFUNDI
Siku 2

26. JUMATANO
17/05/2017
(i) Maswali
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA
ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA
Siku 1

27. ALHAMISI - IJUMAA
18/05/2017 - 19/05/2017
(i) Maswali
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA
VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
Siku 2

28. JUMATATU - JUMATANO
22/05/2017 - 24/05/2017
(i) Maswali
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA
KILIMO, MIFUGO NA UVUVI.
Siku 3

29. ALHAMISI - IJUMAA
25/05/2017 -26/05/2017
(i) Maswali
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA
MALIASILI NA UTALII
Siku 2

30. JUMATATU - JUMANNE
29/05/2017 – 30/05/2017
(i) Maswali
(ii) HOTUBA YA WIZARA YA NISHATI NA
MADINI
Siku 2

31. JUMATANO - ALHAMISI
31/05/2017 - 01/06/2017
(i) Maswali
(ii) HOTUBA YA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA
NA MAENDELEO YA MAKAZI
Siku 2

32. IJUMAA
02/06/2017
(i) Maswali
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA
MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA
AFRIKA MASHARIKI
Siku 1

33. JUMATATU - JUMANNE
05/06/2017 – 06/06/2017
(i) Maswali
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA
NA MIPANGO
Siku 2

34. JUMATANO - IJUMAA
07/06/2017 - 09/06/2017
(i) Maswali
(ii) Serikali kwa kushauriana na Kamati
ya Bajeti Kufanya Majumuisho
kuzingatia Hoja zenye Maslahi kwa
Taifa zilizojitokeza wakati wa kujadili
Bajeti za Wizara.
Siku 3

35. JUMAMOSI – JUMAPILI
10/05/2017 – 11/05/2017
MAPUMZIKO

36. JUMATATU - JUMATANO
12/06/2017 - 14/06/2017
(i) Maswali
(ii) Serikali kwa kushauriana na Kamati
ya Bajeti Kufanya Majumuisho
kuzingatia Hoja zenye Maslahi kwa
Taifa zilizojitokeza wakati wa kujadili
Bajeti za Wizara.
Siku 3

37. ALHAMISI
15/06/2017
Saa 4:30 Asubuhi
Saa 10:00 Jioni
(i) Maswali
(ii) WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO
KUSOMA TAARIFA YA HALI YA
UCHUMI
(iii)WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO
KUSOMA HOTUBA YA BAJETI YA
SERIKALI
Siku 1

38. IJUMAA
16/06/2017
Wabunge Kusoma na kutafakari Hotuba ya
Bajeti Siku 1

39. JUMAMOSI - JUMAMOSI
17/06/2017 - 24/06/2017
v JUMAMOSI - 24
/06/2017
(i) Maswali
(ii) MJADALA KUHUSU:-
• Taarifa ya Hali ya Uchumi
• Hotuba ya Bajeti ya Serikali
(iii) MJADALA KUHITIMISHWA NA
UPIGAJI WA KURA YA WAZI1
(iv) Muswada wa Sheria ya Fedha za
Matumizi wa Mwaka, 2017
(The Appropriation Bill, 2017)
Siku 7

40. JUMAPILI
25/06/2017
MAPUMZIKO

41. JUMATATU – JUMANNE
26/06/2017 – 27/06/2017
MAPUMZIKO /SIKUKUU YA EID EL-FITR

42. JUMATANO – ALHAMISI
28/06/2017 – 29/06/2017
(i) Maswali
(ii) Muswada wa Sheria ya Fedha
wa Mwaka, 2017 (The Finance Bill,
2017)
Siku 2

43. IJUMAA
30/06/2017
(i) Maswali
(ii) Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya
Sheria Mbalimbali wa Mwaka, 2017
[The Written Laws (Miscellaneous
Amendments) Bill, 2017]
HOJA YA KUAHIRISHA BUNGE
Siku 1

44. JUMAMOSI – JUMATATU
01/07/2017 – 03/07/2017
SEMINA YA WABUNGE KUHUSU KANUNI
NA UENDESHAJI BUNGE (CPA POST
ELECTION SEMINAR)
Siku 3


Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment