SERENGETI BOYS WASHUSHWA KWENYE BASI WALILOKUWA WAKISAFIRIA


Malmaka ya mapato Tanzania walilikamata gari ambalo lilikuwa limewabeba wachezaji wa timu ya taifa ya vijana, Serengeti Boys walipokujwa wakielekea nyumbani kwa Mama Samia Suluhu Hassan ambako walipata mualiko wa chakula cha jioni.
Gari hilo ambalo lilitumika kuwabeba wachezaji hao lilichukuliwa na kampuni ya Yono Auction kutokana na deni ambalo TFF inadaiwa na mamlaka ya mapato Tanzania TRA.


Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment