VIWANGO VIPYA FIFA 2017, TANZANIA YAPANDA NAFASI 22

Tanzania yapanda viwango vya ubora vya shirikisho la mpira Duniani FIFA kwa nafasi 22 ambapo kwa sasa Tanzania imesogea nafasi ya 135 kutoka nafasi ya 157.

Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment