Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuongoza mamia ya
waombolezaji kuaga miili ya marehemu siku ya Jumatatu Mei 8 saa mbili
Asubuhi katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha.
Shughuli hiyo ya uagaji miili hiyo ya
wanafunzi wa darasa la saba wa Shule ya msingi nay a awali ya Lucky
Vicent kufuatia ajali iliyotokea jana Mei 7 2017 mkoani Arusha. Tayari
taasisi, watu na serikali ikiwemo ya Kenya na Zanzibar wametuma salamu zao za pole
na rambirambi kwa mkuu wa mkoa wa Arusha kwa kupoteza vijana na nguvukazi ya
nchi.
0 comments:
Post a Comment