SERENGETI BOYS YAPATA PONGEZI BAADA YA KUIFUNGA ANGOLA BAO 2-1


Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Harysson Mwakyembe amewapongeza vijana wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boys, walimu na viongozi wao kwa ushindi wa magoli mawili kwa moja dhudu ya Angola katika mchezo uliochezwa jana jioni nchini Gabon.

Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment