JKT YAONGEZA MAJINA YA WATAKAOJIUNGA NA MAFUNZO MWAKA 2017

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limeongeza majina ya vijana waliohitimu kidato cha sita kwa ajili ya kujiunga na mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria ya mwaka 2017.

Vijana hao wametakiwa kuripoti kwenye makambi ya JKT waliyopangiwa kabla ya tarehe 20 Juni 2017.
Mkuu wa JKT amewakaribisha vijana wote waliochaguliwa kujiunga na vijana wenzao katika kujifunza uzalendo, umoja wa kitaia, stadi za kazi, stadi za maisha na utayari wa kulijenga na kulitumikia Taifa. 

Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment