MATUKIO KWENYE MSIBA WA MKE WA WAZIRI MWAKYEMBE MAREHEM LINAH MWAKYEMBE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akilakiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel
            
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo baada ya kuwasili nyumbani kwa Waziri wa Habari, Dkt. Harrison Mwakyembe

Spika wa Bunge al Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Nduagi akisaini kitabu cha maombolezo katika msiba wa mke wa waziri wa Habari Dkt. Mwakyembe, Bi Linah Mwakyembe.
Spika wa Bunge al Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Nduagi akimfariji waziri wa Habari Dkt. Mwakyembe, Bi kkatika mazishi ya mke wake Bi. Linah Mwakyembe
Kutoka kushoto ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai na Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson wakifuatilia shuhuli ya mazishi ya mke wa Dkt. Mwakyembe Bi Linah Mwakyembe


utoka kushoto ni Spika wa Bunge Job Ndugai na Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson wakifuatilia shuhuli ya mazishi ya mke wa Dkt. Mwakyembe Bi Linah Mwakyembe

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na viongozi wa dini walioongoza ibada ya mazishi ya Linah George Mwakyembe
Naibu Waziri wa Afya Dr Khamis Kigwangala akimfariji Waziri wa Habari Dkt Harrison Mwakyembe kwenye Mazishi ya Mkewe wa Linah George Mwakyembe


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiaga mwili wa mke wa Dkt. Mwakyembe marehemu Linah George Mwakyembe

Prof. Mark Mwandosya na Mkewe Bi. Lucy Mwandosya wakiwafariji watoto wa Marehemu Linah Mwakyembe wakati waliopofika msibani hapo mapema leo



Waziri Mstaafu Prof. Mark Mwandosya akimfariji Waziri wa Habari Dkt. Harrison Mwakyembe aliyefiwa na Mkewe, Linah George Mwakyembe 
Mwili wa Linah George Mwakyembe mke wa Waziri wa Habari Dkt.Harrison Mwakyembe ukiteremshwa kaburini katika mazishi yaoiyofanyika Kyela Leo
Naibu Waziri wa Afya Dkt, Khamis Kigwangala akiweka shada la Maua kwenye kaburi la Mke wa Waziri wa Habari Dkt Harrison Mwakyembe

Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment