Leo mapema Rais Dkt. John
Pombe Magufuli amefanya mabadiliko madogo katika baraza lake la mawaziri
ambapo, nafasi aliyokuwa akishikilia Nape Nnauye, aliyekuwa waziri wa Habari,
sanaa, utamaduni na Michezo kujazwa na Dkt. Harryson Mwakyembe ambaye alikuwa
waziri wa katiba na Sheria, huku nafasi hiyo ya wzara ya katiba na sheria ikijazwa
na Prof. Palamagamba Aidan Kabudi.
Mabadiliko h7yo yameukea
masaa machache baada ya aliyekuwa waziri wa Habari, sanaa, utamaduni na Michezo
kuiwasilisha ripoti ya uvamizi wa kituo cha habari cha Clouds Media Group
ambapo tippri hiyo iligundua mambo kadhaa ambayo RC Makonda alikwenda kinyume
nayo kwa kufanya kitendo hiko.
Nape nnauye aliandika haya
katika ukurasa wake wa Twitter juu ya suala hilo:
Na hii ndio barua ya taarifa ya mabadiliko hayo madogo
yaliyofanywa leo na Eais Magufuli;
0 comments:
Post a Comment