Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo
kutoka kwa Bibi Veroniqu Gorrioch kuhusu utengeneza na ukarabatiwa meli,
pantoni na boti wakati alipotembelea kiwanda cha kutengeneza na kukarabati
meli, pantoni na boti cha Contier Naval Del' Oceaniindien Limited (CNO 1
Company Limited) cha Mauritius
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akitazama makasha yenye minofu ya samaki wakati
alipotembelea kiwanda cha samaki cha MER Des Mascareignes nchini Mouritius
Machi 21. Wa pili kulia ni waziri wa fedha wa Zanzibar Dkt. Khalid Salum Mohammed
0 comments:
Post a Comment