Huko nchini Kenya katika
eneo la Laikipia, hoteli moja ya kifahari inayomilikiwa na Kuki Galimann ambaye
ni mwandishi wa vitabu imechomwa moto na watu wanaodhani kuwa ni wafugaji.
Taarifa zinasema kwamba
wakati moto huo unatokea hakukuwa na mtu ndani ya hoteli hiyo
Ukiachana na tukio hili la
kuchomwa moto kwa hoteli hiyo ya MUKUTAN, taarifa za siku kadhaa zinasema kwamba
polisi waliripotiwa kuwaua kwa risasi ng’ombe takriban mia moja katika shamba
linalomilikiwa na mmiliki wa Hoteli hiyo iliyochomwa moto Bi Gallman,
0 comments:
Post a Comment