MAGUFULI APIGA SIMU NA KUONGEA NA MSANII DIAMOND


Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombwe Magufuli Apiga simu katika kipindi cha Clouds360 na kuzungumza na msanii wa muziki wa kizazi kipa Diamond Platnumz na kumuahidi kuwa maombi yao ameyasikia na atayafanyia kazi.

Mbali na hayo Rais Magufuli pia amewapongeza na amewashukuru wasanii kwa kazi kubwa wanayoifanya kuitangaza nchi ya Tanzania




Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment