TPA imebaini makontena mengine 262
yenye mchanga wa dhahabu yaliyokuwa yamehifadhiwa bandari kavu ya MOFED (zamani
ZAMCARGO) Kurasini.
Mkurugenzi Mkuu TPA, Deusdedit Kakoko
asema makontena yalikuwa hatua za mwisho kukamilisha taratibu za kiforodha
kusafirishwa nje ya nchi
Makontena yote yalikuwa na lakiri
(seals) za TRA, yalikuwa yanashughulikiwa na kampuni ya usafirishaji ya Freight
Forwarders Tanzania Ltd
Orodha ya makontena hayo yaliyobainika
inaonesha yalifika bandarini hapo katika nyakati tofauti kutoka migodi ya
Buzwagi na Pange Mines
0 comments:
Post a Comment