Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini, Dkt
Gideon Kaunda akizungumza na Wananchi wakati wa Hafla ya uzinduzi wa mradi wa usambazaji umeme vijijini Awamu ya Tatu (REA III)
katika mkoa wa Iringa uliofanyika katika kijiji cha Image wilayani Kilolo.
Kushoto ni Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo.
|
Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi Gissima Nyamo-hanga
(wa kwanza kulia), Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (wa
pili kulia), Mbunge wa Kilolo, Mhe.Venance Mwamoto (wa tatu kulia) wakisoma
maombi ya wananchi ya kuunganishiwa umeme katika Mradi wa usambazaji umeme
vijijini Awamu ya Tatu, wakati wa Hafla ya uzinduzi wa mradi wa usambazaji umeme
vijijini Awamu ya Tatu (REA III) katika mkoa wa Iringa uliofanyika katika
kijiji cha Image wilayani Kilolo.
|
|
Ninaamini nimetumia akili yangu yote, nguvu na uwezo wangu wote nilioweza kuwatumikia niko hapa kuwashukuru kwa dhati ya moyo wangu uzinduzi wa mradi wa usambazaji umeme vijijini Awamu ya Tatu (REA III) katika mkoa wa Iringa uliofanyika katika kijiji cha Image wilayani Kilolo. |
|
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter
Muhongo (wa tatu kuli mstari wa nyuma) pamoja na viongozi mbalimbali wakiwa
katika picha ya pamoja kabla ya kuzindua mradi wa usambazaji umeme vijijini
Awamu ya Tatu (REA III) katika mkoa wa Iringa. Wa nne kulia ni Mkuu wa mkoa wa
Iringa, Amina Masenza, wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi
Gissima Nyamo-hanga na wa pili kulia ni Mwenyekiti
wa Bodi ya Nishati Vijijini, Dkt Gideon Kaunda. Waliosimama mbele ni
Wanafunzi wa Sekondari ya Wasichana wa Jamii ya Kimasai wilayani Kilolo.
|
0 comments:
Post a Comment