Taarifa Kutoka Ikulu imesema kuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli leo ametembelea eneo la ujenzi
wa Ikulu kwenye makao makuu ya nchi Chamwino Mkoani Dodoma na kuwahakikishia wananchi kuwa anahamia Dodoma
hivi karibuni kama alivyoahidi.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment