Kwa
wakazi wa mji mmoja ujulikanao kama Chongging huko China, usafiri wa treni
unapatikana barazani kwao, tena ghorofani. Katika mji wa Chongqing nchini
humo, reli ya treni imejengwa kukatiza juu ya nyumba wanamoishi wapangaji.
Chongqing, mji
uliopo kusini mashariki mwa China, umefurika wakazi takriban milioni 49, kitu
kilichowafanya watu wanaohusika na mipango miji kuwa wabunifu, kutokanana hilo
walianzisha mradi uliozalisha kile kilichoitwa, Mountain City.
0 comments:
Post a Comment