WAKAZI WA KIGAMBONI WAPATA KIVUKO KIPYA

Wakazi wa Magogoni na Kigamboni sasa watapata unafuu wa kivuko na kuepukana kusubiri kwa muda mrefu baada ya kivuko cha MV KAZI kumalizika. Kivuko hiko cha MV KAZI chenye uwezo wa kubeba abiria 200 na magari 22 kitakuwa kikitoa huduma kati ya Magogoni na Kigamboni





Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment