Kaimu mkurugenzi mtendaji wa
kitendp cha Tiba ya Mifupa (MOI), Dkt. Othman Kiloloma amesema kipo katika mchakato
wa kupunguza wafanyakazi 45 waliokutwa
na vyeti feki. Akizungumza mbele ya kamati ya bunge ya huduma za jamii alisema
pia taasisi hiyo ina upungufu wa fedha kutokana na serikali kushindwa kutoa
ruzuku ya Sh, Bilioni 4.8 zilizokuwa zikitolewa kwa mwaka wa 2016/2017
Alisema kutokana na tatizo
hilo imekuwa vigumu kwao kujiendesha kwani kitengo kinatumia Sh. Bilioni 20.6
kwa mwaka kwa ajili ya kununulia vifaa tiba pekee, wakati huo huo asilimia 70
ya wagonjwa wakitibiwa kwa msamaha
0 comments:
Post a Comment