Huko nchini Afrika Kusini
mahakama ya katiba imeipinga serikali pale ilipotaka kuweka katazo la uuzaji na
ununuaji wa pembe za ndovu katika matumizi ya ndani ya nchi hiyo. Ambapo pembe
za ndovu kwa sasa zimeruhusiwa kununuliwa na kuuzwa ndani ya nchi huku katazo likiwekwa
kwa biashara za nje japo biashara hiyo inaendelea kimataifa.
Wahifadhi wa wanyama pori
nchini humo hawakubaliani na hatua hiyo kwa kuwa inaweza kupunguza idadi ya
ndovu wanaouawa japo pembe za ndovu zinaweza kukatwa na kuwaacha wanyama wakiwa
hai.
0 comments:
Post a Comment