China
imezinua Manowari yake ya kwanza walioitengeneza wenyewe yenye uwezo wa kubeba
ndege za kivita ambapo meli hiyo ina uzani wa tani 50,000 lengo linaashiriwa
kuwa ni kuimarisha jeshi la ulinzi la nchi hiyo kwa kuliongezea nguvujeshi lake
la majini\Meli hiyo ambayo ndege zitaweza kuruka na kutua juu yake itaanza
kufanya kazi rasmi mwaka 2020, China inamiliki meli kubwa aina ya Liaonong ya
kubeba ndege ambayo ilinunuliwa kutoka Ukraine wakati wa muungano wa Usovieti.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment