Chelsea bado imeendelea
kuongoza ligi kuu ya Uingereza huku Tottenham ikishika nafasi ya pili kwa jumla
ya poinnti 77 baada ya kuichapa Arsenalbao Mbili bila.
Mechi nyingine ambazo
zimechezwa leo ni pamoja na Manchester City dhidi ya Swansea ambao timu hizo
mbili zietoa sare ya bao mojaa kwa moja, huku Everton ikiminyana na Chelsea
ambapo Chelsea imeibuka na ushindi wa bao tatu bila, nao Manchester City
ikikipigavna Middlebrough ambapo katika amechi hiyo ilishindikana ku[ata
mshindi baada ya kutoka sare ya bao mbili kwa mbili na mchezo mwingine
uliochezwa ni kati ya Tottenham na Arsenal ambapo Tottenham iliibuka na ushindi
wa bao mbili bila.
0 comments:
Post a Comment