Kaimu mkuu wa idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg. Jokate Mwegelo
amejivunia wanachama wapya 680 mjini Dodoma katika kata za Hombolo na Chang’ombe
ambapo pia alipata nafasi ya kuzungumza na wanachama wa UVCCM katika chuo kikuu
cha Dodoma (UDOM) na baadae kukabidhi kadi kwa waachama hao wapya.
Jockate Mwegelo ambaye ni Kaimu wa Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM
alipata nafasi ya kukutana na wenyeviti wa Umoja wa Wanawake wa kata ya Hombolo
mjini,
Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi
Ndg:Jokate Urban Mwengelo wa Nne kulia akiwasili kata ya Hombolo
alipokwenda kukabidhi kadi kwa wanachama wapya.
Wanachama wapya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakila kiapo cha chama
|
Kaimu mkuuwa Idara ya
Uhamasishaji a Chipukizi Ndg. Jokate Mwegelo akizungumza na wanachama wa Umoja
wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Chuo Kikuu cha Dodoma
|
Kaimu mkuuwa Idara ya Uhamasishaji a Chipukizi
Ndg. Jokate Mwegelo akizungumza na wanachama wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha
Mapinduzi (UVCCM) kata ya Chang’ombe mkoani Dodoma
0 comments:
Post a Comment