Usiku wa jana Tarehe 27
April huko nchini Uingereza ligi kuu ya Uingereza imeendelea kurindima huku
michezo mitatu ikichezwa usiku huo. Timu ya Arsenal ilikipiga dhidi ya Leicester
City katika uwanja wa nyumbani wa Emirates na kufanikiwa kutwaa ushindi wa bao
moja kwa ifuri dhidi ya Leicester City. Goli hilo lilipatikana baada ya veki wa
timu ya Leicester City kujichanganya na kujikuta akiipatia bao hilo timu ya
Rsebal kwa kujifunga.
Mchezo mwingine ambao
ulichezwa kati ya Criystal Palce dhidi ya Tottenham Hotspur, mchezo huo
ulichezwa katika uwanja wa nyumbani watimu ya Criystal Palce, Selhurst Park
ambapo wenyeji hao walishindwa kutetea heshima yao wakiwa nyumbani kwa kufungwa
goli moja kwa sifuri. Goli hilo la Spurs lilifungwa mnamo dakika ya 78 na
mchezaji Christian Dannemann.
Sunderland wakiwa ugenini
katika uwanja wa Riverside Stadium wa wpinzani wao Middlesbrough walijikuta
wanaangukia pua baada ya kufunga goli moja kwa sifuri, ambao goli hilo la
Middlesbrough lilifungwa na Marten de Roon katika dakika ya nane.
0 comments:
Post a Comment