MANCHESTER UNITED KUKIPIGA NA MANCHESTER CITY LEO

Leo ndio leo, ile mechi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kati ya mahasimu wakubwa huko nchini Uingereza kuchezwa leo (Alhamis) ya April 27 katika uwanja wa Etihad, ambapo mpaka sasa Manchester City iko mbele kwa pointi 4 zaidi ya Manchester United japo timu hiyo imeonekana ikishuka daraja. Timu ya Manchester United hivi sasa inashikilia jumla ya pointi 48 huku Manchester City ikishikilia pointi 52.

Mara ya mwisho timu hizo mbili zilipokutana Marcus Rashford aliipatia timu yake ya Manchester United ushindi wa goli moja kwa sifuri katika uwanja huo huo wa Etihad katika msimu uliopita
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment