Kiungo mxhezeshaji wa
Chelsea N’golo Kante ameshinda kuwa mchezaji bora wa mwaka wa chama cha
wachezaji wa kulipwa nchini England PFA kwa msimu wa mwaka 2016-2017. Mchezaji
huo amewashinda wachezaji wenzake wengine w ligi hiyo ikiwemo Eden Hazard,
Romelu Lukaku, Hary Kane, Alex Sanches na Zlata Ibrahimovic ambao nao pia
waliwania tuzo hiyo.
Mshindi wa tuzo ya mchezaji bora Ng’olo Kante
|
Naye Kiungo wa Dele Alli wa
Totttenham amejishindia tucho ya mchezaji bora chipukizi ikiwa ni mwaka wa pili
mfululizo ambapo amewashinda wenzake Romelu
Lukaku, kipa wa Sunderland Jordan Pickford, Michael Kaene wa Burney na Leroy
Sane wa Manchester City ambao walikuwa wakiwania tuzo ya mchezaji bora
chipukizi wa Mwaka.
Mshindi wa tuzo ya mchezaji chipukizi bora Dele Alli
|
0 comments:
Post a Comment