ORODHA YA MAREFA WATAOCHEZESHA ZA AFCON 2017, AKIWEMO MTANZANIA



Orodha ya marefa watakaochezesha fainali za AFCON imetolewa huku refa mtanzania Frank John Komba akiwa kwenye orodha hiyo.  Fainali za AFCON U-17 zinatarajiwa kufanyika nchini Gabon mwezi May mwaka huu wa 2017

Mtanzania huyo amepata fursa ya kuwa kati ya marefa 29 watakaochezesha mechi hizo akiwa kama refa msaidizi. 


Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment