PICHA; KOREA KASKAZINI INA SILAHA 1000 TOFAUTI ZA KIVITA

Uwezo wa Makombora ya Korea Kaskazini


Marekani Pentagon inaamini kwamba Korea Kaskazini inamiliki makombora 6 aina ya KN-08, ambalo lina uwezo wa kufika hadi Marekani.
Korea kaskazini inaaminika kutengeza toleo jipya la kombora hilo linalojulikana kama KN-14.
Kombora la masafa marefu la Taepodong linaweza kuruka bara moja hadi lingine. Yanakadiriwa kuruka umbali wa Kilomita 2,000 hadi 8,000
Kombora la Musudan ambalo linakadiriwa kuruka kilomita 4,000




Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment