PROFESA KITILA MKUMBO NA WENZAKE WALA KIAPO LEO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo April 5, amewaapishwa viongozi mbali mbali ambao amewateua, tukio hilo limefanyika Ikulu jijini Da es salaam.

Viongozi ambao wamekula kiapo ni pamoja na Leonard Douglas Akwilapo kuwa katibu mkuu wa wizara ya Elimu, Sayansi na Technolojia, Prof. Kitila Mkumbo ameapishwa kuwa katibu mkuu wizara ya Maji na Umwagiliaji, Dkt. Ave Maria Emilius Semakafu ameapishwa kuwa Naibu katibu mkuu wizara ya Elimu, Sayansi na Technolojia, Mhe. Baraka Haran Luvanda ameapishwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini India, Mhe Sylvester Mwakinyuke Ambokile ameapshwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Bw. Charles Edward Kichele ameapishwa kuwa Kamish7na mkuu wa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA).


Viongozi wa sekretarieti ya maadili ya umma kwa viongoziw wakisoma hati ya kiapocha maadili kwa viongozi wa umma mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhur ya Muungano wa Tanzania Dkt. John PombMagufuli 
Viongozi wa sekretarieti ya maadili ya umma kwa viongozi  wa
kisaini hati ya kiapocha maadili kwa viongozi wa umma mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhur ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bwana Charles Eward Kichere kuwa kamishna mkuu wa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA)


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Prof. Alexander Kitila Mkumbo kuwa katibu mkuu wa wizara ya Maji na Umwagiliaji





Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment