ROMA AKAMATWA NA WATU WASIOFAHAMIKA

Msanii wa Muziki wa Hip Hop Roma Mkatoliki na mwenzie Moni wamekamatwa na watu wasiofahamika ambao walivamia studio za Tongwe Records usiku wa jana majira ya saa moja usiku, Pia watu hao wasiofahamaka walimchukua kijana wa kazi, Compyuta pamoja na TV na kuondoka navo kusikojulikana.


Taarifa hizo zilitolewa jana na Mwanamuziki wa Hip Hop Profesa Jay jana muda mfupi baada ya kutokea kwa tukio hilo, ambapo Profesa Jay aliandika taarifa hiyo kwenye ukurasa wake wa Instagram. 


Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment