Korea kaskazini yamtia mbaroni rai wa Marekani , taarifa
hizo zimetolewa na shirika la habari la Korea Kusini, raia huyo mwenye asili ya
Kimarekani na Kikorea alikamatwa katika uwanja wa ndege wa Pyongyang alipokuwa
akijaribu kuondoka Pyongyang.
Imeelezwa kwamba Mwanaume huyo aliwahi kuwa Mhadhiri huko
nchini China katika chuo kikuu cha China Yanbian, pia aliwahi kuwa Korea
Kaskazini kwa muda wa mwezi mmoja kwa shuhuli za uhisani.
Raia wengine wawili wa Kimarekani wnashikiliwa nchini
Korea Kaskazini
0 comments:
Post a Comment