Rais wa Somalia Mohamed Abdullahi
ametangaza vita dhidi ya kundi hilo la wanamgambo wa Al shabab kufuatia shambulizi
la kujitoa mhanga lililotokea karibu na jingo moja la serikali mjini Mogadishu
na kusababisha vifo vya watu 7 pamoja na kuwateka nyara wafanyakazi ambao
wanatoa misaafa katika nchi hiyo kutokana na kukabiliwa na ukame.
Pia Rais huyo amewataka
wanamgambo wa Al Shabab kujisalimisha ili wapate mafunzo, ajira na elimu, rais
huyo amewapa wanamgambo hao siku 60 kutekeleza agizo hilo.
Pia amesema aefanya
mabadiliko katika maafisa wa vyeo vya juu wa ujasusi kwa lengo la kujiandaana
vita dhidi ya wanamgambo hao, lakini pia imedaiwa ni kutokana namashambulizi ya
mara kwa mara yanayotokea nchini Somalia hivy kuamua kuchukua tahadhari.
0 comments:
Post a Comment