Hifadhi za Taifa
Tanzania (Tanania National Parks-TANAPA) imetolea ufafanuzi wa taarifa
zinazosambaa mitandaoni kuhusu majeruhi aliyejeruhiwa na Simba katika hifadhi ya
Serengeti siku ya Jumamosi 22 April saa tisa usiku.
Ufafanuzi huo umesema
kwamba aliyejeruhiwa si Mwalimu wa chuo cha Sinon kilichopo Temboni jijini Dar
es salaam kama inavyosambaa kwenye mitandao ya kijamii, na kuwa aliyejeruhiwa ni
Bw. Kilopa Samwel (46) ambaye ni mlinzi katika hifadhi hiyo ya Tarangire na
siku ambayo amejeruhiwa Bw. Kilopa alikuwa kazini katika majukumu yake ya kila
siku
0 comments:
Post a Comment