WAANDISHI WA HABARI WAPEWA SOMO KUHUSU KODI YA ARDHI

Wizara ya ardhi imetoa mafunzo kwa waandishi wa habari kuhusu kodi ya ardhi na majengo, mafunzo hayo yamefanyika jijini Dar es salaam. Mafunzo hayo yametolewa na wizara hiyo kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa lengo la kuwafanya waandih7i wa habari umuhimu wa kodi ya majengo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kutoka wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi mboza Lwandiko akizungumza na Waandishi wa Habari wakati wa mafunzo.

Afisa Ardhi kutoka wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Denis Masami akifafanua masuala muhimu ya ardhi kwa waandishi wa Habari.

Afisa msaidizi wa huduma kwa mlipa kodi Maya Magimba akitoa somo waandishi wa Habari juu ya umuhimu wa kulipa kodi ya majengo na ardhi. 


Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment