Kabila la Hamar linalopatikana Kusini Magharibi nchini
Ethiopia waawake kuchapwa ni miongoni mwa sherehe kubwa ambazo zimekuwa
zikifanyika kila mwaka kudumisha utamaduni huo ambapo wanaume huwachapa bakora
wanawake hadi kuwaacha alama katika shemu za miili yao hususani mgongoni.
Watu wa kabila hilo wanaamini kwamba kufanya hivyo
humfanya mwanamke kuonesha sadaka ambayo wanaitoa kwa wanaume lakini pia
inadhihirisha uwezo wa mwanamke kimapenzi, na inaelezwa kwamba endapo mwanamke
atafanya hivyo itakapofikia ki[indi cha shida atakuwa na uwezo wa kumuomba msaada
mwanamume ambaye alimchapa viboko.
haki za binadamu hazipo
ReplyDelete