KAMPUNI YA SIMU TANZANIA-TTCL KUZIMA MITAMBO YA CDMA


Kampuni ya Simu ya Tanzania (TTCL)  imewatangazia wateja wake kuwa zoezi la kuzima huduma ya simu za mkononi zinazotumia teknolojia ya CDMA litafanyika rasmi kwa kuzima mitambo yote ya CDMA siku ya Jumapili Tarehe 7 Mei 2017 saa saba usiku. 


Share on Google Plus

About Unknown

1 comments:

  1. Huo ni ubabe au maana mimi nina simu za biashara 7 je nitafanyaje? Na mbona wenzenu walibadilishia wateja wao ambao simu zao zilionekana feki je nyie vipi mbona mnanyanyasa watu kiasi hiki jamani?

    ReplyDelete