PICHA; WANAFUNZI 32 NA WALIMU WALIOFARIKI KWENYE AJALI YA BASI MKOANI ARUSHA


Picha za wanafunzi 32, walimu wawili na dereva mmoja wa shule ya Lucky Vicent waliofariki kwenye ajali ya basi mkoani Arusha wilayani Karatu.
Uagaji wa miili hiyo unafanyika leo katika  uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha

Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment