IGP SIMON SIRRO |
Rais wa Jmahuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli amemteua Kamanda wa Polisi Simon Sirro kuwa mkuu wa Jeshi la Polisi (Inspector
General Police) leo Mei 28 2017, ambapo kabla ya uteuzi Kmanda Sirro alikuwa
Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam.
IGP Simon Sirro anachungua nafasi ya Ernest Mangu ambaye
atapangiwa kazi nyingine.
0 comments:
Post a Comment