Mahakama
nchini Uganda imeamuru bneki kuu ya Uganda kufukua kaburi la aliyekuwa mume wa
Zari Ivan Semwanga baada ya Benki kuu kuomba kufanywa hivyo kufuatia tukio
lililotokea katika mazishi ya tajiri huy ambapo amatajiri wenzake walimwaga
pesa ndani ya kaburi la Ivana kabla ya mwili wa Ivan kuzikwa.
Taarifa na
Mahakama ya nchi hiyo inasema “The purposes of the said monies put into the
grave were misused and there was wastage of public property thereby violating
social and economic rights of other people”
Ni siku tatu
zimepita tangu tukio hilo kutokea ambapo kundi la Rich Gang kufanya tukio hilo
la kuchupa mipaka ya matumizi ya fedha. Benki kuu ya Uganda bado haijamalizana na
Kundi hilo la Rich Gand na kuitaka vyombo vya dola viwachukulie hatua watu
waliotupa hela kwenye kaburi la Ivan Ssemwanga.
Kaburi la Ivan
Ssemwanga likiwa na Pesa zilizomwagwa na wenzake wa kundi la Rich Gand
|
0 comments:
Post a Comment