ALICHOKIANDIKA RIDHIWANI KIKWETE BAADA YA MAMA YAKE KUTEULIWA KUWA MBUNGE


Baada ya rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Joseph Pombe Magufuli ana kumteua Mama Salma Kikwete, Ridhiwani Kikwete amabaye ni mtoto wa Mama wa Mama Salma Kikwete aliandika kwenye ukurasa wake wa twita na kumpongeza mama yake kwa kuwa mstari wa mbele kuwasaidia wasichana. 


Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment