CCM KUIFANYIA MAREKEBISHO KATIBA YA CHAMA



Chama cha mapinduzi kimepanga kufanya mkutano mkuu maalum wa CCM taifa tarehe 12/03/2017 mjini Dodoma dhumuni kubwa likiwa ni kufanya marekebisho katika katiba na kanuni za chama hicho.


Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment