IKULU YAFANYIA MAREKEBISHO TAARIFA

Ikulu yafanyia marekebisho ya taarifa ya awali iliyotolewa juu ya uteuzi wa mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Mama Salma Kikwete, ambayo hapo awali ilikuwa ikisomeka kuwa ni uteuzi wa mbunge wa viti maalum. 

Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment