DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AMEZINDUA RASMI TAASISI YA JAKAYA MRISHO KIKWETE FOUNDATION (JMKF)

DKT Jakay Mrosho Kikwete leo amezindua taasisi ya Jakaya Mrisho kikwete Foundation (JMKF) katika hoteli ya Hyat Kilimanjaro Kempisk jijini Dar es salaam na kuongoza kikao cha kwanza cha bodi ya wadhamini ya taasisi hiyo. Kuanzishwa kwa taasisi hiyo kumelenga kwenye kusaidia kuleat maendeleo endelevu, elimu, afya hususani afya ya mama na mtoto, michezo pamoja na amani na utawala bora. 
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizindua taasisi hiyo rasmi leo jiini Dar es salaam katika hotel ya Kilimanjaro Kempisk.

Bodi ya wadhamini ya Jakay Mrisho Kikwete Foundation katika piach,
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment