.
Habari zilizotufikia hivi punde.
Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) imezifungia ofisi za
shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) leo na kuamrisha kuaacha kila kitu
ndani, hali hiyo imefikiwa kufuatia deni kubwa la kodi wanalodaiwa Shirikisho
hilo, Kampuni ya Yona Auction Mart kwa idhini waliyopewa na malka ya mapato
Tanzania (TRA) walifikia katika ofisi hizo na kuwataka maofisa wa TFF kutoka
nje na kuacha kila kitu kilichomo katika ofisi hzo.
0 comments:
Post a Comment