MANCHESTER CITY KUKIPIGA NA MANCHESTER UNITED


Mechi kati ya Manchester City na Manchester United imethibitishwa kuwa itapigwa siku ya Alhamisi, April 27,2017 katika uwanja wa Etihad.

Mechi hiyo ambayo ilibidi ichezwe Februari,26 lakini ikaahirishwa kutokana na Manchester United siku hiyo walikuwa wakicheza fainali ya EFL Cup dhidi ya Southampton.
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment