PLUIJM ATANGAZWA RASMI KUWA KOCHA MKUU SINGIDA UNITED FC

Kilabu ya Singida United imeingia makubaliano na kocha wa kimataifa kutoka nchini Uholanzi Hans Van Der Pluijm kuifua timu hiyo. Kulingana na taarifa hiyo makubaliano hayo yanamhalalisha kocha huyo wa kimataifa kuaznia leo Machi 17 2017 kuwa kocha mkuu wa timu hiyo.

Tayari tiu hiyo imeshaingia makubaliano na kiungo wa kimataifa Tafadwaza Kutinyu kutoka timu ya Chicken Inn ya nchini Zimbabwe.
Kocha Pluijm akisaini mkataba na club hiyo rasmi kuanza kuinoa kilabu hiyo


Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment